FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Kwamba Uto mnataka sare ili mkashinde south Africa

Mmeyatimba 😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸
 
Sio kweli.
Ili mbinu ifanye kazi unahitaji watu makini,na watu makini huwezi kuwapata bila investment ya uhakika
Sasa hao wamewekeza kuliko yanga mbona watu wao sasa wanashindwa kuitendea haki investment value yao
 
Jana nyie dk za mwanzo wamewapiga cha mkwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kuwahi au kuchelewa, muhimu je mtu amefika mshindo baaas.
 
Kumbe mamelody wa kawaida sana, dah tusingekua na injury ya yaoyao,pacome na aucho! Hawa masanda wangeeleza kwanin Bata anaharisha maisha yake yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…