FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Taja sehemu unayo tazamia mpira huu

Mm Niko kijini kbsaa ndani ndani banda umiza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu em tulia bhanaa, mbona una kiraru sana? Kwemaa?
Kwema umewaona wanaume wanavyocheza mpira sio kina kibu wenu jana hawaeleweki 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom