FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Umeona pira la wanaume hilo?? Sio nyie mapema joto limepanda mmeruhusu goli kiboya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Udugu umeona mpira? Au wee ulikua buzzy kutazama wachezaji? Lete takwimu za hii game!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira wameucheza masandawanaa.
 
Baada ya mechi zote 2 za Simba na Yanga , conclusion yangu ni kwamba Simba ameonesha uhai zaidi licha ya matokeo yake.

So Simba akicheza compact kama alivyojana Jana anaweza shinda mechi ya Al Ahly.

Ila Kwa upande wa Yanga ,safari Yao imeishia hapa ,kule wataenda kupunguza idadi ya magoli tuu.
 
Sasa ndo tutaona jinsi wenzetu wanajua kutumia home kwao.Tusijipe moyo kuwa et tutaenda kufanya kitu huko BIG NO,si Simba wala Yanga zote ni kipigo tu huko waendako
 
Eti ile mechi kubwa AFRICA...HII ndio ball possesion..
Hawa ndio wachambuzi wa kibongo....!!
Kwani wewe unaonaje ?
20240228_125857.jpg
 
Sasa ndo tutaona jinsi wenzetu wanajua kutumia home kwao.Tusijipe moyo kuwa et tutaenda kufanya kitu huko BIG NO,si Simba wala Yanga zote ni kipigo tu huko waendako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Udugu umeona mpira? Au wee ulikua buzzy kutazama wachezaji? Lete takwimu za hii game!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira wameucheza masandawanaa.
🤣🤣🤣🤣🤣 huoni aibu udugu kusema hivyo?? Kweli kabisa macho makavu hujaona Yanga walivyokuwa wanacheza?? Au bado una wenge la wajukuu wa Farao 😂😂😂
 
Back
Top Bottom