Udugu umeona mpira? Au wee ulikua buzzy kutazama wachezaji? Lete takwimu za hii game!Umeona pira la wanaume hilo?? Sio nyie mapema joto limepanda mmeruhusu goli kiboya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesahau kuwa Yanga ugenini ni moto wa kuotea mbali eeh.Vyura wanashangilia sare Tena nyumbani
Mwana mpotevu...Mtoto halali na hela umepigaje hapo? Haya walivyokuja, ndivyo wanaondoka. Tunawafata kwao...
ππππππππππππππ
SInce 1935
#tunakujasouthafrca#
Relaaaaaaaxxxxx!!!pole kwa msiba wa jana
Kwani wewe unaonaje ?Eti ile mechi kubwa AFRICA...HII ndio ball possesion..
Hawa ndio wachambuzi wa kibongo....!!
π€£π€£Wazee wa five gFULL TIME
YANGA 0 - MAMELODI SUNDOWNS 0
Asante Yanga japo kuna watu wamenuna!
Ila Mkude amekuwa na mechi boraAucho, Pacome, Yao.
Wanaweza kuongeza sana nguvu.
Hii game haijaisha
Unavipata Cairo kwenye kupinduwa meza wakati Waarabu wanakula kwenye majamvi.Vituko kama hivi nikihitaji navipataje? π€£π€£π€£
Possession 63 goal 4' π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kabisa tunge wapumzisha tu wakina Pacome na Yao.Hii timu ya leo ilikuwa ni bora kuliko hata ile iliyocheza dhidi ya Azam na kuishia kupoteza 2-1.
Wamewapaisha sana wakasahau kuwa wao wana al Ahly. Sasa wamegongwa jana wakawa wanataka leo wajiokotezee furaha ila kimyaaaaaa kama wametahiriwa.Masandawana ya nyoko
Mwakarobo wana akili mbovu usishangae wakapanda zao ndege kuelekea bondeni wakasahau game yao iko Cairo.Mwakarobo waki kumbuka mlima wao na wetu zina tofautiana kichwa kina wauma .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndo tutaona jinsi wenzetu wanajua kutumia home kwao.Tusijipe moyo kuwa et tutaenda kufanya kitu huko BIG NO,si Simba wala Yanga zote ni kipigo tu huko waendako
π€£π€£π€£π€£π€£ huoni aibu udugu kusema hivyo?? Kweli kabisa macho makavu hujaona Yanga walivyokuwa wanacheza?? Au bado una wenge la wajukuu wa Farao πππUdugu umeona mpira? Au wee ulikua buzzy kutazama wachezaji? Lete takwimu za hii game!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira wameucheza masandawanaa.
Niliwaeleza hapa mikia Leo Mkude NI siku ya kurudisha heshima yake hawakunielewa.Ila Mkude amekuwa na mechi bora