FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Mpira umekosa radha Hadi na wewe kibibi kizee nae unachambua mpira?
 
We ni Newcomer bila uniform ?? [emoji81]Al ahly wa nyumbani aka tolewe na simba hii
 
sikutegemea nilijua tutafungwa
 
Mara oooh Ball posession mmezidiwa kwa hiyo mtafungwa....

Mara oooh kwa kikosi cha leo mtakoma....

Mara oooh Mamelodi ni bonge la timu.....


KIKO WAPI SASA?

Heshimuni soka linachezwa uwanjani, sio mdomoni
 
Yaani nyie mmecheza na timu ambayo wachezaji wake wawili majeruhi key player umepigwaa, sasa subiri Dieng arudi uone utakavyo pasuka vizuri,Misri unazani watacheza kama walivyo cheza jana.
 
We ni Newcomer bila uniform ?? [emoji81]Al ahly wa nyumbani aka tolewe na simba hii
Kumbuka Simba atacheza kama alivyocheza hana Cha kupoteza Kwa sababu lazima atafute goli so pressure iko.kwa Al Ahly sio Simba.

Ila.kwa Yanga ,wakicheza walivyocheza hivi na lazima wacheze hivi Kwa sababu wamezidiwa sana na Memelod ,kitu Cha maana wanaweza kufanya ni kwenda kupunguza magoli ya kufungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…