Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Hiv nan marehem mpaka sasa kati mbumbumbu na sis wa kimataifa?Huwa wanapona mzee baba..shida ukishakua kwny state ya umarehemu yani huwezi kutoboa huko uendako kama nyie vyura..mna hali ngumu sanaaaaa
Kabisaaa 😂😂😂Ahahahah..hii ni misamiati yetu sis ma uncle na nyie mashangazi. Hawa watoto wa leo hawaijui haiko kwenye genre zao
Ni akili mbili Fc..ndo marehemu..kwa sbb hawajui kama wao ni marehemu basi waache watuite sisi marehmu..Hiv nan marehem mpaka sasa kati mbumbumbu na sis wa kimataifa?
🤣🤣🤣Bush star si unasikia ananiita nikale senene🤣🤣🤣🤣 na kina sokomoko…..ila nimecheka sis 😂😂😂😂
Kwahiyo da kipepe kolo??
Ila dada Kipepe ana visa,eti Niko daraja la Tanzanite napiga picha🙄🙄🙄yaani bado anajuaga Mtu akifika town lazima apige picha kwenye madaraja,wewe dada Kipepe umenikosea sana adabu Leo😅 Ironbutterfly🤣🤣🤣🤣🤣 oyoooooooo!!! Da kipepe umejibiwa offer yako huku Theironbutterfly eti sato zina matope
🤣🤣🤣🤣 dada mbavu zinaniuma, nipo na watu nawaheshimu wataniona chizi🤣🤣🤣Bush star si unasikia ananiita nikale senene
Hiyo id ss hivi hatumii tena alisahau password kasema, ss hivi anatumia Theironbutterfly 🤣🤣🤣🤣Ila dada Kipepe ana visa,eti Niko daraja la Tanzanite napiga picha🙄🙄🙄yaani bado anajuaga Mtu akifika town lazima apige picha kwenye madaraja,wewe dada Kipepe umenikosea sana adabu Leo😅 Ironbutterfly
Basi mwambie shoga yako achane na mambo ya madaraja...😂😂😂Hiyo id ss hivi hatumii tena alisahau password kasema, ss hivi anatumia Theironbutterfly 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 hayaBasi mwambie shoga yako achane na mambo ya madaraja...😂😂😂
Yeah Musonda aliangushwa kwenye box ilikua clear penaltyHata mechi ya jana kulikuwa na uwezekano wa penalti lakini VAR hata hawakumuita refa
Madaraja unayo wewe,mara kigamboni,sijui mfugale🤣karibu daraja la busisi-kigongo fery ulizindue ,tukupe na ubaloz wa satoh na sangara wa miaka mi3Basi mwambie shoga yako achane na mambo ya madaraja...😂😂😂
Ukiniona huko Mwanza zaidi ya miezi miwili toa taarifa kituo Cha polisi kilichokaribu nawe maana lazima nitakuwa nimetekwa nipo kwenye matatizo makubwa...au wasiliana na mdogo wangu Lamomy atajua Cha kufanyaMadaraja unayo wewe,mara kigamboni,sijui mfugale🤣karibu daraja la busisi-kigongo fery ulizindue ,tukupe na ubaloz wa satoh na sangara wa miaka mi3
Uwe lishangaz la mwanzah iwee,abangandhh
Doh!Ni akili mbili Fc..ndo marehemu..kwa sbb hawajui kama wao ni marehemu basi waache watuite sisi marehmu..