FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Lamomy unamkumbuka zile bush stars na town stars?Sasa Kipepe alikuwa anachezea bush star ya makolo😂😂
 
Usiwe punguani wewe.
Kwani kumiliki mpira ndio magoli?
Mbona kombe la dunia Portugal ilimiliki mpira zaidi ya asilimia 70 na Morocco ndio akashinda na kumtoa Portugal??
Mbona robo fainali world cup Spain aliongoza kwa posession na akatolewa na Morocco?
UNAJUA KITU KINAITWA CONVENTIONAL FOOTBALL??
YANGA KAZIDIWA POSESSION ILA KAONGOZA KWA SHOTS ON TARGET KAMA ANGEZITUMIA ANGEKUA MSHINDI.

HUJUI MPIRA
Juzi Simba alimiliki akafungwa, hivi umiliki unatumika kuvusha timu?, kama wanataka boli zuri wataona kwenye mechi za kirafiki saizi ni point tu zinatakiwa
 
🤣🤣Sea food za wapi?kasa au usikute uko daraja la tanzanite unapiga pic za paska
Njoo kwa wahayah ule sato,msukumah na sato wapi na wapi?
Sasa unanivunjia heshima we muhaya,yaani Mimi ni wa kupiga picha darajani wakati nimezaliwa ocean road miongo mitatu iliyopita?Kwanza muhaya na Sato wapi na wapi?Sato za msukuma bwana nyie mnakula wadudu panzi😅
 
🤣🤣🤣🤣 hapo chacha, hajui km we born town kitambo??
 
Hili neno “kihedemswede” umenikumbusha skonga nilikuwa napenda kusutia watu wenye shobo 😂😂😂😂
Ahahahah..hii ni misamiati yetu sis ma uncle na nyie mashangazi. Hawa watoto wa leo hawaijui haiko kwenye genre zao
 
Back
Top Bottom