FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Kwahiyo unahisi utamfunga mamelodi pale Pretoria?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We unahisi vipi??
Kwani Wydad alimtoa Mamelodi wapi kama sio pretoria msimu jana??
Tanzania ni Yanga pekee iliweka consistency ya kushinda sana ugenini kuanzia enzi za Nasruddin Nabi.
Kaa kwa kutulia game bado.
 
Nawaonea huruma safari ya bus ilivyo mbali na walivyochoshwa na Yanga 🤣🤣🤣
Aaah😂😂😂😂hii mimi siamini bhana mamelody asipande ndege aisee azurure na bus!?
Zalan Fc kilometa 2000 walichoka hoi je kilomita 6000??
😂😂😂😂😂
 
Km wee unaweza kushinda south ugenini, bas na yeye anaweza kushinda pale kwake. Na uzuri huku ugenini kazuia kufungwa, usilete hoja ya bao la ugenini.

Sidhani km match itaamuliwa kwa mtindo huo.
Ulitizama game ya Yanga na Club Africain??
Club Africain alitoka 0-0 Tanzania,kuna mtu alitegemea tungemfunga kwao Algeria??
Comeooon madam ongea kimpira bhana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenyeji kwako umeshindwa kumpiga adui, ndo ukampige nyumbani kwake?

Kwahiyo mlikua mnajilinda vile, ili bao la ugenini lisipatikane mkashinde kule south? Woiiiiiiii
Club Africain tulimtoaje kwao Algeria??
 
We unahisi vipi??
Kwani Wydad alimtoa Mamelodi wapi kama sio pretoria msimu jana??
Tanzania ni Yanga pekee iliweka consistency ya kushinda sana ugenini kuanzia enzi za Nasruddin Nabi.
Kaa kwa kutulia game bado.
tutajie mechi ata moja msimu huu uliyoshinda ugenini kwenye champions leauge au mwezetu uwa unatazama mechi za mizimu
 
tutajie mechi ata moja msimu huu uliyoshinda ugenini kwenye champions leauge au mwezetu uwa unatazama mechi za mizimu
Ukileta reference hiyo na mimi nitakupa reference ya mwaka jana CAFCC Yanga alimfunga Club Africain Algeria akamtoa,Yanga alimfunga Rivers united kwao Nigeria akamtoa,Yanga alimfunga Marumo Gallants kwao Afrika kusini akamtoa,Yanga alimfunga USM Alger kwao Algeria.
Je hizo sio reference za kuziweka??
Tena wala sio miaka mingi mwaka jana tuu Yanga kafanya hivyo.
Kama tuliweza kuzifunga hizo timu kwao kwanini tusiweze kwa Mamelodi??
Kuna mtu alitegemea tungemfunga Rivers united kwao Nigeria ilhali alitutoaga 2022 CAF??
 
apa hutajadili mechi za shirikisho maada iliyopo mezani ni CAF champions leauge mzee usichanganye mafaili
 
Ndio maana huko juu nikakwambia hadi sasa mechi ipo 50 - 50 kuelekea mechi ya marudiano. Kila timu ina nafasi kufuzu ila wewe unalazimisha ionekane Yanga ndio kaaga mashindano wakati mechi imeisha suluhu. Ili Mamelod afuzu ni lazima apate goli na Yanga nae ili afuzu ni lazima apate goli. Sare yeyote ya magoli yatambeba Yanga, ushindi wowote ule kwa Mamelod utambeba Mamelod.
Achana na huyo kiande.
 
apa hutajadili mechi za shirikisho maada iliyopo mezani ni CAF champions leauge mzee usichanganye mafaili
Khaa!
Nani kachanganya mada??
Kwani yote si mashindano ya kimataifa??
Hayo ni mashindano yote ya CAF utofauti ni rank tu.
Kolouzdad bhana mwapenda kuruka vihunzi!!
Tulichokifanya shirikisho hata klabu bingwa kinawezekana ni mipango tu.
 
Back
Top Bottom