FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Sijaelewa kwa nini Gamond kumwacha Mzize karibia dakika zote za mchezo. Msimu ujao Yanga watafute namba tisa wa kueleweka. Yanga inapaswa kubakia na mchezaji mmoja kati ya Gwede, Musonda na Mzize.
Mkuu kamuacha Mzize dakika zote kwasababu nje hatuna straika yeyote wa maana yaani Guede ndio wale wale afadhari ya Mzize. Kwa jana sina pa kumlaumu kocha, laiti kama Yanga angekuwa na wamaliziaji wa maana game ingeisha kwa ushindi mnono kabisa kwa Yanga.
 
Mbona hapa nyumbani kwako hujamfunga? Ndo ukamfunge kwake? Hebu nijibu kwan mtaniiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ni hatua ya mtoano, katika hatia ya mtoano jambo la kwanza hakikisha mpinzani wako hapati goli la ugenini kwasababu goli la ugenini ni mlima mkubwa kuelekea mechi ya marudiano.
Jambo la pili ndio ufunge goli.
Matokeo ya 0 - 0 sio matokeo mabaya kwa Yanga kwasababu bado mechi inakuwa bado 50 - 50 kule South. Itategemea tena na mipango ya mabenchi ya ufundi wanaingia na mbinu ipi. Hata Mamelod nae walitamani wapate goli la ugenini ili mechi hiishie huku huku Dar ila wameshindwa
 
Kwa madiba tunaenda kuwachinja ila mechi ilikuwa tamu, Yanga kaonyesha uanaume sio unafungwa kwenu km simba wa Dar zoo 🤣🤣🤣🤣
Aisee we mwanamke😂😂😂.
Au dada ye na Evelynsalt?
 
Majini wameondoka nayo, kazi ijumaa wanakufa kwao FT 1-1.
 
Kwa mtu anayewajuwa Aucho, Pacome na Yaoyao kutokuwepo kwenye game hii ana haki ya kushangilia hayo matokeo hawana goli la ugenini kama walilopata Al Ahaly.

Yanga inakwenda kuwaondowa mashindanoni Mamelodi kwao ikiwa iko na kikosi kamili.
Wasijisahau tu na matayarisho ya kucheza dakika 120 kwenye jua la saa 9 huku baadhi ya wachezaji wakiwa kwenye swaumu, mazoezi ya penalti na na fitina ya kukosa visa kwa baadhi ya wachezaji kama alivyofanyiwa MAYELE.
 
Hapana mechi ya marudiano inachezwa usiku pia kule South Africa.
 
Kwenye makolozdad wote wewe ndie mwenye akili timamu.
Kuanzia leo wewe sio mbumbumbu.
Ni kweli hilo hata mi nimemwambia. Hapa Rage anatakiwa amuombe msamaha jamaa sio mbumbumbu ila kwa mtu kama Scars Au OKW BOBAN SUNZU au 1979Magufuli bila kumsahau mkubwa wa masandawane Mapopoma GENTAMYCINE bila kumsahau SAYVILLE Rage alitakiwa ayaite Mapoyoyo, madunduka, mambumbumbu na Madwanzi kabisa na ayazibue na mabao kabisa.
 
Kwani msimu ulopita mpaka Yanga anafika Final si kazitoa timu zilizomzid ubora katika viwango vya CAF??
USM alger aliyempokonya kombe Al Ahly la super cup Yanga si tulimfunga kwao 1-0 fainali CAFCC??
Je Alger tuliwezaje kumfunga.
Kwahiyo unahisi utamfunga mamelodi pale Pretoria?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ni hatua ya mtoano, katika hatia ya mtoano jambo la kwanza hakikisha mpinzani wako hapati goli la ugenini kwasababu goli la ugenini ni mlima mkubwa kuelekea mechi ya marudiano.
Jambo la pili ndio ufunge goli.
Matokeo ya 0 - 0 sio matokeo mabaya kwa Yanga kwasababu bado mechi inakuwa bado 50 - 50 kule South. Itategemea tena na mipango ya mabenchi ya ufundi wanaingia na mbinu ipi. Hata Mamelod nae walitamani wapate goli la ugenini ili mechi hiishie huku huku Dar ila wameshindwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenyeji kwako umeshindwa kumpiga adui, ndo ukampige nyumbani kwake?

Kwahiyo mlikua mnajilinda vile, ili bao la ugenini lisipatikane mkashinde kule south? Woiiiiiiii
 
Back
Top Bottom