Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wydad Casablanca waliwatowa Mamelodi wapi?Leo inaonekana walikuwa wanatafuta sare tasa na wametumia viungo wengi. Kule kwao huwa wanashambulia sana na hawajawahi kufungwa tangu 2019.
Sare yoyote ya magoli Mamelodi out.