FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Unakubali nini unakataa nini?
Yanga alijilinda sana huku akishambulia kwa kushtukiza.
Aisee ile game kama unajua mpira tizama jana na leo utasema mwenyewe nani amecheza mpira.
Kati ya nani na nani hao waliocheza mpira, yaan unao walinganisha ili nikujibu kwa usahihi.
 
Muhimu timu zote Simba na Yanga Zina nafasi tusizikatishe tamaaa mpira skuizi wa bongo umekuwa sana ova
 
Unakubali nini unakataa nini?
Yanga alijilinda sana huku akishambulia kwa kushtukiza.
Aisee ile game kama unajua mpira tizama jana na leo utasema mwenyewe nani amecheza mpira.
Kama mamelodi angekuja kutafuta matokeo ugenini kwasababu ana wasiwasi wa kupoteza nyumbani, basi mashabiki utopolo wangekuwa na akili sana[emoji16]
 
[emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] Kuna kumfunga na kumtoa we subiria kwake nyie si mlisema Leo Kuna Bongani zungu sasa dakika ya 10 game ilimshinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umtoe huyu msimu wa 6 plus anaishia Semi final, na juzi kanyakua AFL kwa kuwachabanga Al Ahly na Wydad?

Mtanii hebu njoo kwa hatua, lol
 
Muhimu timu zote Simba na Yanga Zina nafasi tusizikatishe tamaaa mpira skuizi wa bongo umekuwa sana ova
Simba ingefanya usajili wa maana tungetisha, cha msingi tukiwa serious kuboresha timu zetu hata ndani ya miaka 5 tunaweza kukutana wenyewe fainali
 
Kumbe timu ikicheza na yanga ndio kibonde ila ikicheza na Simba sio kibonde[emoji849]. Kuna shida mahali ..... Anayetuachia timu ni Mooo au Mangungu?[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyesema kibonde ni nanii?
 
Kama mamelodi angekuja kutafuta matokeo ugenini kwasababu ana wasiwasi wa kupoteza nyumbani, basi mashabiki utopolo wangekuwa na akili sana[emoji16]
Yanga hii kikosi cha leo kitaumwa week nzima,mpaka Baca alichoka si mchezo
 
Huyu Mwamba leo ni man of the match. Amefanya kukosekana kwa Pacome Aucho na Yao isiwe na madhara makubwa
images - 2024-03-31T000856.779.jpeg
 
Kama
Ball possesion 70 kwa 30 ni sawa na maksi ya mwanafunzi wa kwanza darasani na wa mwisho, halafu huyo mwenye maksi 30 wa mwisho anajitamba ni mbinu ya kumzidi aliyeongoza maksi.
Kama utakuwa nwalimu basi darasa lako litakuwa na package kubwa Sana ya vilaza!!. Kama mfano wako ndio huu aloohh!!. Possession ni zao la mbinu zilizochaguliwa kutumika... Kama una akili walau ungejaribu kuangalia hiyo possession ya 70 Mamelod kaufanyia wapi?.
Kwahiyo Ivorycoast aliyechukua kombe akiwa na point 4 unamlinganisha na Morocco aliyefuzu na makundi na point 7+. Akili kisoda 😅😅😅
 
Back
Top Bottom