FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hivi yanga na mamelodi nani alikua anajilinda? Yanga chance zote walitumia counter attacks na bado wakakosaa.

Kuhusu mamelody walitawala dimba la kati, ila pale mbele leo shalulile na ribeiro hawakua na siku nzurii.

Nweiii pongezi kwenu, mmejitahidii.
Unakubali nini unakataa nini?
Yanga alijilinda sana huku akishambulia kwa kushtukiza.
Aisee ile game kama unajua mpira tizama jana na leo utasema mwenyewe nani amecheza mpira.
 
Mchezo wa leo mlichofanikiwa ni kuongoza kwa fouls na offsides.
Wewe roho imekuuma sana
20240330_235804.jpg
 
Ball possesion 70 kwa 30 ni sawa na maksi ya mwanafunzi wa kwanza darasani na wa mwisho, halafu huyo mwenye maksi 30 wa mwisho anajitamba ni mbinu ya kumzidi aliyeongoza maksi.
 
Ball possesion 70 kwa 30 ni sawa na maksi ya mwanafunzi wa kwanza darasani na wa mwisho, halafu huyo mwenye maksi 30 wa mwisho anajitamba ni mbinu ya kumzidi aliyeongoza maksi.
Leo mtalinganisha ball na kila kitu.
 
Aly ni kibonde Hana form yake..... Kwani makundi nyie hamkuwa mnasema ni kibonde [emoji849][emoji849].
Mbona alikuongozea kundi, na kwake alikuchapaa.?
Huo ukibonde ndo uwe leo hii??
 
Unakubali nini unakataa nini?
Yanga alijilinda sana huku akishambulia kwa kushtukiza.
Aisee ile game kama unajua mpira tizama jana na leo utasema mwenyewe nani amecheza mpira.
Kwani jana kulikuwa na mechi?
 
Sijui tuiombe CAF tuwasaidie mwakarobo kwenda kucheza mechi ya pili maana naona Kuna ule mnara wa trh 5/11 unaenda kisimikwq Tena.🤭🤭
 
Mbona hapa nyumbani kwako hujamfunga? Ndo ukamfunge kwake? Hebu nijibu kwan mtaniiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂🤣😁😁😁 Kuna kumfunga na kumtoa we subiria kwake nyie si mlisema Leo Kuna Bongani zungu sasa dakika ya 10 game ilimshinda
 
Back
Top Bottom