FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Simba waliishika mechi Jana acha ushabiki maandazi.

Leo Yanga kupata sare ni ushindi mtaenda Kufa kiume huko South Africa 😆😆😆😆😆
We huku huna ujualo. Endelea kuramba makalio ya makonda. Kaamka asubuhi hii, hana tena uenezi. Mfariji leo Rais wako mtarajiwa. Mbumbumbu mwenzako asiyejua anatakiwa angee nini kwenye hadhara ipi. Ye ni mikwara tu kila sehemu.
 
Kwani wanapokuwa wana posses mpira wanakua wameuweka ndani ya jezi? Pass di ndiyo zinaunda possession? Au mimi ndiye naelewa tofauti?
Mkuu Mimi Mtanzania Mwenzako sitoki kwa Mandela natoka kwa Nyerere..
Usinikasirikie mkuu..
Mimi sio UBUNTU-BOTHO..

nafasi haikuwa upande wenu Kama ambavyo haikuwa upande wetu Juzi so lets Correct our mistakes..
Ili tuingie Nusu fainali bado nafasi tunayo wote
 
Back
Top Bottom