FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Kama

Kama utakuwa nwalimu basi darasa lako litakuwa na package kubwa Sana ya vilaza!!. Kama mfano wako ndio huu aloohh!!. Possession ni zao la mbinu zilizochaguliwa kutumika... Kama una akili walau ungejaribu kuangalia hiyo possession ya 70 Mamelod kaufanyia wapi?.
Kwahiyo Ivorycoast aliyechukua kombe akiwa na point 4 unamlinganisha na Morocco aliyefuzu na makundi na point 7+. Akili kisoda 😅😅😅
Nunua glucose mkuu draw inauma tuliza presha
 
Nunua glucose mkuu draw inauma tuliza presha
Toa mifano iliyo hai😅... Kama draw inauma kile kijiti mlichotiwa na muarabu Jana kinafanyaje? Hebu nisimlie u khari gani Sheikh.
 
Toa mifano iliyo hai😅... Kama draw inauma kile kijiti mlichotiwa na muarabu Jana kinafanyaje? Hebu nisimlie u khari gani Sheikh.
Nipo kwenye mfungo mkuu unatumia lugha nzito punguza hasira
 
Kama mamelodi angekuja kutafuta matokeo ugenini kwasababu ana wasiwasi wa kupoteza nyumbani, basi mashabiki utopolo wangekuwa na akili sana[emoji16]
We kweli popoma.
Mamelodi kacheza tena sana na alikua akitafuta matokeo sana tu.
Au hukumuona kocha wa mamelodi alivyokua akijitahidi kubadili mbinu?
Mamelodi alitaka kufanya alichofanya jana Al Ahly.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umtoe huyu msimu wa 6 plus anaishia Semi final, na juzi kanyakua AFL kwa kuwachabanga Al Ahly na Wydad?

Mtanii hebu njoo kwa hatua, lol
Kwani msimu ulopita mpaka Yanga anafika Final si kazitoa timu zilizomzid ubora katika viwango vya CAF??
USM alger aliyempokonya kombe Al Ahly la super cup Yanga si tulimfunga kwao 1-0 fainali CAFCC??
Je Alger tuliwezaje kumfunga.
 
Yanga timu yangu, siwezi kujivunia zaidi. Hata bila ya wachezaji tegemezi watatu kikosi cha kwanza kukosekana tumefanikiwa kutoa sare dhidi ya Sundowns, sio jambo dogo kabisa.

Japo Mzize ametukosesha vibe la sikukuu mapema ila sio mbaya, ni heri nusu kuliko shari kamili.
 
We umedraw mi nimefungwa point unazo ?
Nani ana nafasi tukitizama probability??
Yani wewe ni kama umeshatoka maana Ahly kwake atakubadilikia huamini.
Mie Yanga nina uzoefu wa kushinda ugenini tokea msimu uliopita wa CAFCC.
Kuna mtu angetarajia kama tungemfunga USM alger japo kombe kabeba yeye??
 
Back
Top Bottom