changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mkuu kamuacha Mzize dakika zote kwasababu nje hatuna straika yeyote wa maana yaani Guede ndio wale wale afadhari ya Mzize. Kwa jana sina pa kumlaumu kocha, laiti kama Yanga angekuwa na wamaliziaji wa maana game ingeisha kwa ushindi mnono kabisa kwa Yanga.Sijaelewa kwa nini Gamond kumwacha Mzize karibia dakika zote za mchezo. Msimu ujao Yanga watafute namba tisa wa kueleweka. Yanga inapaswa kubakia na mchezaji mmoja kati ya Gwede, Musonda na Mzize.