FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

hii ndo line up 😂😂😂 it's over before it's over.
nijiwekee mkeka
1711814426450.png
 
Utakuwa msimu mbaya sana kwetu mashabiki wa Simba iwapo Yanga itavuka nusu na Simba kuishia tena robo. Nikiri tu kuwa, tutakuwa tumepanga nyumba iliyopo dimbwini msimu wa mvua. Ni kroooo kroooo.
Mpaka mseme
 
Kila la heri timu yetu ya wananchi.
Mpaka sasa tupo juu ya malengo kwenye CAF CL na haya ni mafanikio kuelekea mechi ya leo.
[emoji172] Kufuzu kucheza hatua ya makundi(lengo kuu)
[emoji169]kutinga hatua ya robo fainali
Hatuna cha kupoteza mpaka sasa tupo ndani ya malengo yaliyotimizika 100%

[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]YANGA FOREVER[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Mbona kujitetea kwingii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom