Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yanga wameanza kwa kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya relaaaaaxxxx sasa.Sasa nani ana mihemko wiki nzima mna izungumzia Yanga.
Uyu jamaa hadi akose nafasi 9 ya 10 ndo afungeMzize kapiga kizembe kweli. Lingekuwa goli lile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mechi ya leo kwa hiki kikosi kuleni daku mapema.
Sasa mimi na ww nani anatakiwa kurelax wenzenu jana wametoa machozi uwanjani.Haya relaaaaaxxxx sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee mtaniiii.Yaani nimelipia tiketi naishia kupigwa mabomu huku nje 🥲[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasemaa tyuuhHuyu pacome angedungwa Ata shindano ya ganzi ili awepo at least 45min