BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Huko kwao watacheza 21?Hawana Mpango wa ku press Kwa Nguvu Kwa sababu wanajua Mechi itaisha kwao lakini pia wanajua Jamaa watafunguka tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwao watacheza 21?Hawana Mpango wa ku press Kwa Nguvu Kwa sababu wanajua Mechi itaisha kwao lakini pia wanajua Jamaa watafunguka tuu
Amapiano....bado yupo yanga kazi yake ni ku dance
Mimi nawacompare na Ahlywew una makombe mangapi na mpira wako unao cheza
Yupo bench hapo...check kwenye subsNje ya mada.....
Hivi Skudu aliendaga wapi? 🧐🧐🧐
Mimi nakusukumia wewe.Nawee pia unataka akusukume nyamaa? Mbona unawashwaaa sana?
Mimi sio kumradhi sasa.[emoji23][emoji23]nImemaanisha Kumradhi ni samahani ndugu mteja[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Yapi hayo mwakaroboyanga wawe makini naona wana mengi ya kujifunza kwa simba hasa katika hatua kama hizi
Dah!....🙆🙆🙆
utasubiri sana mnafikiri hii ndio ile shughuli ya jana yakuaibisha taifa..😂Hawa masandawanaa wana pass za kiwakiii, watu tunataka tulee pasakaa kwa uzuri kabisaa.
Msikieni uyu 😂😂😂utopwinyo hamuna tofauti na sisi jana munapoteza nafasi mutaziwekea matanga kule swauzi afrika
Bongo teams are tough, honeyLes équipes de bongo sont difficiles, chérie
Home advantageHuko kwao watacheza 21?
Laiti tungekuwa na vile vifaa vitatu kwa pmj leo wangesahau kucheza amapianoKipindi cha kwanza kimekuwa kizuri kwa Yanga, Gamondi achange vizuri karata za kipindi cha pili.
et où étais-tu beau, tu me manques énormémentLes équipes de bongo sont difficiles, chérie
Bahati mbaya haya sio maonyesho ni game za maamuzi,nadhani wanacheza hivi kwa malengo maalumHawa masandawanaa wana pass za kiwakiii, watu tunataka tulee pasakaa kwa uzuri kabisaa.