FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Mambo magumu inaonekana yawekezaka leo ni draw match dakika 90 zikiisha.

Ila Yanga wanahaha kupindua matokeo jana ya Al Ahly.
 
Mzize apumzike aingie Okrah, Gamond kama ananisikia atanishukuru.
Huyo atahamasisha wachezaji wengine kupanda juu akianza mbio zake, kitu ambacho Gamond hana muda nacho kabisa leo.

Labda dakika za mwisho.
 
Aziz Ki nae anakosa mnoo Leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila sundown wana dharau sana waneona ngoja sasa wacheze wawaoneshe vyura wao ni nani hasa..
Ni mwendo wa kupishana sasa..
 
Mzinzee ni bekii au mshambuliajii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nyuma muda wote anafanya nn? Woiiiiiih
uyu jamaa kwenye team zina jielewa angekuwa ni sub ya kuanzia dk ya 80 ..
 
Back
Top Bottom