Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Vipi Mkude uliyemu-underrateHata kama Yanga siipendi ila sub ya Azizi Ki naona kocha kama kakurupuka
Huyu Guede atatupa maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Mkude uliyemu-underrateHata kama Yanga siipendi ila sub ya Azizi Ki naona kocha kama kakurupuka
Huyu Guede atatupa maneno
Aziz ki alikua ameshachoka lazima alikua atoke tuHata kama Yanga siipendi ila sub ya Azizi Ki naona kocha kama kakurupuka
Huyu Guede atatupa maneno
ni kosa kisheria ama mbinu ya mchezoNyuma yanga wako 8
leo.yanga ina Mabeki 9
Jamaa kama wangeamua kucheza, muda huu ingekuwa chura wamejaa jangwani.Kuna timu moja inacheza nyingine inafanya mazoezi
Kumbe upo nimeambiwa umefukuzwa jfDah! Guede tena!! Anyway ngoja tusubiri tuone. Kwa Okrah sina hata wasiwasi. Maana huu mchezo hauhitaji mchezaji wa kusubiri kuletewa mpira.
Kudefend ndio kupack? Wewe Dr. gani wewe?Sio six mzee wana 9 pack..
YAani wachezaji wote wanaDeffend
Apo banda umiza ndo mme jadiliana hayo?Kwanini Diara hupoteza mpira?
Akidaka anabutua mbali kuelekea lango la mpinzani, huu ni ujinga badala ya kuwa pasia wachezaji
🤣🤣We unaona 8
Ni uoga kimpira 🤣🤣ni kosa kisheria ama mbinu ya mchezo
jana simba walikuwa wachache ila kapigwa
Nimemsikia mara mbili labda kwasababu timu haimiliki sana mpiraVipi Mkude uliyemu-underrate
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee eve acha dhambii jamanii. Mbona kacheza vyedii mnoo, ni vile bas hakua na bahati leo.Hachezi bana anazunguka tu itakua kashiba sana futari
UNAFIKIRI REDE HII NYINYI MBONA DK YA 5 TU MLIWEKWA KATIHivi Uto mpaka sasa hamjawafunga hata goli moja Mamelodi
Mnategemea muende kuwafunga kwao au?
You will learn the hard way kwa Madiba
Sare mtapata ila mjitumeMechi bora iishe kwa yanga kupata clean sheet hata ikiwa 0 - 0 sawa tu. Mechi ikaanze upya kule South Africa
Guede atafanya maajabu subir uwone mkuuDah! Guede tena!! Anyway ngoja tusubiri tuone. Kwa Okrah sina hata wasiwasi. Maana huu mchezo hauhitaji mchezaji wa kusubiri kuletewa mpira.
Maseko atakuseko kinyeroo shauri yako mapazia😄😄Jamanii atokee Ribeiro, aingie maseko bhana.
Wee kocha wa masandawana hebu fanya jambooo.