FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hawa manelod tuliwaogopa bure,pasi zaoo hazina madhara na wanapoteza hovyo pasi
 
Nina uhakika mimi hapa ningepata kucheza namba ta mzize ningekuwa nimefunga magoli mawili mpaka sasa, mzize kama foward kuna vitu kiufundi anavikosa
Mfano mwanzoni alipata mpira upande wa kulia akiwa sambamba na mabeki wawili akapiga mpira kipa akadaka, mimi naona alimalizia tu moove ilimradi lakini kiufundi angeingia upande wa kushoto alipo beki ili wagongane ajiangushe apate penati, au angemlazimisha yule beki amkwepe kuepusha penati hivyo angepata angle nzuri ya kupiga shuti kwa mguu wa kushoto kwakuwa anakuwa katikati ya goli.
Haya kuna goli la kuchop hapo ye kapiga chini wakati kipa ameshasogea mbele kacha goli.
ila wachezaji wa mchangani bwana ukute apo ata mechi tu za umiseta hujawah cheza saizi unajifanya eti ungefunga Goli kwenye mechi kubwa kama hii mzee hii sio Ndondo wala Cha Ndimu hii ni CAF champions leauge
 
Back
Top Bottom