Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga wana fouls 13 na Kadi 2 za njano..mbona anaye cheza faulo muda huu n mamelodi mkuu ama una chuki na wananchi
Una mjua onana ?Ball distribution ya Diarra ni mbovu sana, amuangalie huyo Williams anavyodistribute mpira vizuri.
Umeona Eeh Moshi inakera sana uwanjani hapaKuiga ya kuweka moshi uwanjani sio poa bana
Mechi ya marudiano ukamuanzisheWoyoooooooh namuona maseko anaingia hapo kwa dimba, kocha kakosea anamcheleweshaa mnoo aaah.
Ni Yanga wanachoma Dawa hizo wanachoma udi na Uvumba 🤣🤣yanachoma uwanja wa nin mapumbavu haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu bhana,Skudu yukwapi
Apambane na nkamu wenzake[emoji23][emoji23][emoji23]
yanachoma uwanja wa nin mapumbavu haya
Na lazima aanze kwa kweli, mbona anakiwashaa sana tyuuh.Mechi ya marudiano ukamuanzishe