Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Udugu mbona una presha sana leo kuliko jana mlivyocheza na waarabu 🤣🤣🤣Amekosaaaaaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udugu mbona una presha sana leo kuliko jana mlivyocheza na waarabu 🤣🤣🤣Amekosaaaaaaa!!!
Vyura wanashangilia sare Tena nyumbani
UhakikaTutapindua meza Cairo
Simba wanashangilia nini nyumbaniVyura wanashangilia sare Tena nyumbani
asa unachoshangilia nin wakati safari imeiva hiyoWe ulishangilia nn jana [emoji16]
Huyu ni kama hajui matokeo anadhani Yanga imeshindaSisi ndio Yanga
💚💛💚💛💚💛
Vituko kama hivi nikihitaji navipataje? 🤣🤣🤣Hawa wajinga tunaenda kuwamaliza kwao
mara ya kwanza ilisemwa watatuchaza ila holaaa hawa tunaenda toa draw ya,1-1 wanatokaDefensively Yanga wako vizuri sana, ila second leg hali itakuwa ngumu zaidi kwao.
Bonyeza mojaVituko kama hivi nikihitaji navipataje? 🤣🤣🤣