Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
nani kaona pengo la pacome na aucho? mechi ijayo wakiwepo wanaweza kushinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Cha kizamani Kwa sababu ni makosa ya wachezaji binafsi ndio yalifanya wasifinge.Mpira wa kisasa ni mbinu(strategies)
Jana sisi tulimiliki mpira kizamani sana.
ShuhuliiiWhy simu hazijapigwa?
Ndio nimetizamaNimekuuliza ushawahi kitizama mechi tatu za nyuma za 5imba zidi ya Al Ahly Misri?
Hili jukwaa ww halikufai baki kwenye siasa kule.
Tunangoja ufufuko huku huku kibanda umizaMpira umeisha rudini nyumbani
Mechi zote za 5imba alizo cheza na Al Ahly nimeziona?Uwe unanifhatilis Kila mechi ya Yanga na Simba wakicheza na timu za Nje.
Mkicheza wenyewe na timu za Bongo ambazo marefa wanawabeba Huwa siangalii na hata sijui chochote kwenye Ligi hiyo but huku naangalia vizuri Sana.
Hahah hongerah kwa mamah Abdul mzaa bodabodahBall possession
YANGA 8%
MAMELOD 92%
Mpira siyo ball possession,mpira hasa hatua hii ya mtoano ni idadi ya magoli,yanga sare ya zero zero ni nzuri kwake maana kimfano akipata goli la ugenini utakuwa mzigo mzito Kwa mwenyeji.Ball possession
YANGA 8%
MAMELOD 92%
Wewe jana possesion ilikusaidia niniBall possession
YANGA 8%
MAMELOD 92%
Yanga alizidiwa ball possession tu, ila sio mashambulizi. Angalia shorts on target, goalkeeper saves na expected goal.Wakawaacha kina nani? Nilisema Toka mechi Inaanza kwamba Yanga hawezi shida mechi ya Leo maana alizidiwa.
Hebu niambie kwa nini simu hazijapigwa pale kwa MkapaUtamuona South kaa hapo hapo ndugu mtazamaji.....
This time natarajia nione mechi tofauti akicheza na Simba Cairo.Mechi zote za 5imba alizo cheza na Al Ahly nimeziona?
Hivi Al Ahly kuchukua ubingwa wa Africa mara tatu ktk miaka minne,unazani shughuli anaimalizia wapi kama sio kwake.
Baki kwenye siasa huku hupawezi.
Amka usingizini mkuunani kaona pengo la pacome na aucho? mechi ijayo wakiwepo wanaweza kushinda.
Ulisema lini na ulimwambia nani wewe nzi wa kijani? Sasa Simba walishinda jana? Pumbavu.Wakawaacha kina nani? Nilisema Toka mechi Inaanza kwamba Yanga hawezi shida mechi ya Leo maana alizidiwa.
Watu wengine mkae jikoni mmenye nyanya na vitunguu mpira sio fani yenuWakawaacha kina nani? Nilisema Toka mechi Inaanza kwamba Yanga hawezi shida mechi ya Leo maana alizidiwa.
Daktari mzima hujui kuandika neno DEFEND, au dokta manyanyau wewe?Kudeffend kunaruhusiwa ila sio wachezaji wote hao wanatakiwa kudeffend kunahaja gani ya Mabeki sana kama mpaka Straika, Midfieldee mpaka Beki wana deffend [emoji1787][emoji1787]
Vijana wamekaza,mechi ijayo tunachomoaUnategemea bahati, leo haipo.
Amiiiiiinaaaaaanani kaona pengo la pacome na aucho? mechi ijayo wakiwepo wanaweza kushinda.