FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Mpira wa kisasa ni mbinu(strategies)

Jana sisi tulimiliki mpira kizamani sana.
Hakuna Cha kizamani Kwa sababu ni makosa ya wachezaji binafsi ndio yalifanya wasifinge.

Kwa hiyo Leo Mamelodi wamemiliki na hawajapata goli ni uzamani?
 
Uwe unanifhatilis Kila mechi ya Yanga na Simba wakicheza na timu za Nje.

Mkicheza wenyewe na timu za Bongo ambazo marefa wanawabeba Huwa siangalii na hata sijui chochote kwenye Ligi hiyo but huku naangalia vizuri Sana.
Mechi zote za 5imba alizo cheza na Al Ahly nimeziona?

Hivi Al Ahly kuchukua ubingwa wa Africa mara tatu ktk miaka minne,unazani shughuli anaimalizia wapi kama sio kwake.

Baki kwenye siasa huku hupawezi.
 
Wakawaacha kina nani? Nilisema Toka mechi Inaanza kwamba Yanga hawezi shida mechi ya Leo maana alizidiwa.
Yanga alizidiwa ball possession tu, ila sio mashambulizi. Angalia shorts on target, goalkeeper saves na expected goal.
IMG_20240330_231455.jpg
 
Back
Top Bottom