FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

This time natarajia nione mechi tofauti akicheza na Simba Cairo.
Husitaraijie chochote, jana wachezaji watatu key player walikuwa nje majeruhi na wamepigwa.Sasa wakirudi halafu wafunguke hovyo hivyo tena ugenini na timu yenye Al Ahly halafu kwao ,huwatakii mema wenzio.
 
Back
Top Bottom