United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Mzee wa kulinganisha City ya Pep na Yanga ya Mwamnyeto wew utakua na Shida kwenye kichwa yako kwahyo ukimungalia mzize unahisi kama Haaland iviWiki nzima ulikua unapiga kelele na hawa watu wako, leo umewakalia kimya ka sio wewe..... Yanga ni lidude likubwa sana