FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Mashabiki wanataka kuvunja viti hapa.
Namna gani
 
Naona mapumziko ya Afcon yameiathiri pakubwa sana timu ya Yanga. Baadhi ya wachezaji wamekuwa wazito mpaka basi.
 
Naona mapumziko ya Afcon yameiathiri pakubwa sana timu ya Yanga. Baadhi ya wachezaji wamekuwa wazito mpaka basi.
Mtani mlileta uzembe kuwapumzisha wachezaji muhimu kucheza mapinduzi tena bila sababu yoyote ya msingi
Max,Pacome na wengineo wana struggle kurudi kwenye form zao baada ya mapumziko kuwashusha kasi waliyokuwa nayo mwanzo
 
Back
Top Bottom