Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goo00000oaaal .. Djuigi Diaraa
Madhara yake naona yameiangukia zaidi timu ya wananchi. Yaani mpaka wanatia huruma. Yaani goli limepatikana kwa mbinde mpaka huruma.Ligi ya kupumzika mwezi mzima sijawahi ona pengine hapa duniani... only in Tanzania.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
tuna achaje😂😂😂😂 sasa Yanga mtawaona wakimiminika kwenye uzi
Hana namba kule 😂Huyu Pacome ndio walitaka aitwe Afcon?
angefanya nini?
hakuna huruma, goli la mbinde ndo lenye rahaMadhara yake naona yameiangukia zaidi timu ya wananchi. Yaani mpaka wanatia huruma. Yaani goli limepatikana kwa mbinde mpaka huruma.
Mimi ni kati ya mashabiki wa Yanga ambao sikukiunga mkono kile kikosi cha Mapinduzi.Mtani mlileta uzembe kuwapumzisha wachezaji muhimu kucheza mapinduzi tena bila sababu yoyote ya msingi
Max,Pacome na wengineo wana struggle kurudi kwenye form zao baada ya mapumziko kuwashusha kasi waliyokuwa nayo mwanzo
Mzize alitoa nini pale?Unaambiwa form is temporary, but class..
Goli la kupatikana kwa mbinde ndio tamu sasa!Madhara yake naona yameiangukia zaidi timu ya wananchi. Yaani mpaka wanatia huruma. Yaani goli limepatikana kwa mbinde mpaka huruma.