FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Guede sio mfunga magoli anafaa kucheza movie ,
Inakuwaje ananunuliwa mchezaji bila kujua performance yake Hata kujaribu mashuti ya maana hakuna??, nafuu ingesajili mtanzania sema tuna tabia ya kudharau vya kwetu kama timu ya Afcon na wahindi .

Nzengeli naye anapiga chenga mahali hakuhitajiki na mashuti mahali hakuhitajiki kuna haja akae benchi kwa muda akili imrudie
Wewe ni kocha wa timu gani sijui, labda tuanzie hapo.
 
Wewe ni mmoja wa atu wasitumia akaili; unaandika pumba tu badala ya kuandika kulingana na mada. Sasa kwa sweali lako kwa nini usiulize timu nhyingine kama Azam ila umekimbilia simba tu. Halafau umeshindwa kuelewa kuwa performance hiyo ya Yanga hiyo inepimwa na performance yake wakati ligi inaanza
Huna akili, katika mechi nne Yanga kakusanya points ngapi?
 
Hamna mnachojua kuhusu mpira nyie. Jamaa sijaona shida yake mpaka mseme hivi
Tunao jua mpira kumbe ni wachache sana yani leo hii Hafizi awe sawa na Guede.
Guede ni mchezaji akiwa mbele beki zote azitembei mwamba ana control nzuri,anajua kuficha mali na sio rahisi kupokonywa mpira ukiwa miguuni kwake.
Sasa Hafizi haya alikua anayafanya kweli?mshambuliaji alikua mzito na rahisi kupokonywa mipira acheni jamaa azoee ligi atafunga.
 
Back
Top Bottom