FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Kitaulo kwenye Moja na mbili uchawi ni kitu kibaya sana
20240205_223507.jpg
20240205_223505.jpg
 
Niko na mr tunaangalia mechi basi tunafurahia dkk zinasonga huku tunaomba wadroo sasa ile hali ya kuomba hilo...
Aisee roho mbaya inatesa sana... [emoji23] [emoji23][emoji23]
Kalpana una Mr wangapi?
Kuna siku humu ulisema Mr wako ni YANGA leo kwa pamoja mnaomba ifungwe, au ameshamteka kwenye ushabiki wa mpira?
 
Tupe michezo minne ya mwisho ya 5imba tulinganishe
Wewe ni mmoja wa atu wasitumia akaili; unaandika pumba tu badala ya kuandika kulingana na mada. Sasa kwa sweali lako kwa nini usiulize timu nhyingine kama Azam ila umekimbilia simba tu. Halafau umeshindwa kuelewa kuwa performance hiyo ya Yanga hiyo inepimwa na performance yake wakati ligi inaanza
 
Yanga naona haina spidi tena. Michezo minne ya mwisho imekuwa inapita kwa mbinde mbinde sana. Costal 1-0, Tabora 1-0, Kagera 0-0, Dodoma 1-0
Kuna mazingira ambayo yamechangia hiyo hali.
1) mechi ya Coastal, ushindi wa mbinde ulitokana na Yanga kuwa na ratiba ngumu. Anetoka kucheza dhidi ya Azam, Singida na Simba kisha hakuna kupumzika wameenda Tanga.
2) mchezo dhidi ya Tabora, Yanga inacheza mechi ngumu ya muhimu ya klabu bingwa dhidi ya Medeama kisha pasipo kupumzika wanatakiwa waende Tabora kucheza na Tabora.

3) mechi za saivi (Kagera na ya Dodoma) imekuwa ngumu kwasababu ya timu kutocheza mechi kwa muda mrefu kumewafanya wachezaji wa relax kwa kiwango kikubwa cha bata. Wachezaji wote wa Yanga wamekuwa ni wazito mno na inaonekana shida ipo kwenye fitness. Kikubwa wapate angalau tu point tatu najua huko mbele miili yao itarudi sawa. Nafasi zinatengenezwa, mpira unapigwa haswa kwa jana ila unaona kwenye maamuzi miili inakataa ni wazi bado hawajarudi kuwa sawa kiakili na kimwili.
 
Back
Top Bottom