FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Wewe ni kocha wa timu gani sijui, labda tuanzie hapo.
 
Huna akili, katika mechi nne Yanga kakusanya points ngapi?
 
Hamna mnachojua kuhusu mpira nyie. Jamaa sijaona shida yake mpaka mseme hivi
Tunao jua mpira kumbe ni wachache sana yani leo hii Hafizi awe sawa na Guede.
Guede ni mchezaji akiwa mbele beki zote azitembei mwamba ana control nzuri,anajua kuficha mali na sio rahisi kupokonywa mpira ukiwa miguuni kwake.
Sasa Hafizi haya alikua anayafanya kweli?mshambuliaji alikua mzito na rahisi kupokonywa mipira acheni jamaa azoee ligi atafunga.
 
πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£Pole sana mtani hii Mimi ilinikutaga juzi kwenye mechi ya mali ile aisee mchezo wa mpira ni mchezo wa mokosa sanaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Mchezo unatufanya tuwe na roho mbaya aiseee... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…