Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua 😂Hakuna straiker
Kapiga kichwa kipa kacheza, tuendelee kumuonaNgoja leo tena tumwone.
Msitukimbie wanetu tutawajuza
Kichwa kapigia mbali lakini kapiga kapiga na mguuHakuna straiker
Mpeni muda kama Tanesco wanavyopewa muda.Aisee kuna shida hapa kwa striker
kwani ni goli?Kichwa kapigia mbali lakini kapiga kapiga na mguu
Nimekuja Bar sema uzuri wana jenereta.wamepita nao?
Kula biaNimekuja Bar sema uzuri wana jenereta.