FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Kuna Upande naona Wamewaweka Wale Mabeki Wafupi wafupi....!

Yaani tuombe Mungu Vimo Vifupi Visitukosti...!
 
Beki line ...... Huyu Gifty[emoji849][emoji849][emoji849]... Mzito sana wajameniiiiii... Anuary Jabiri anaweza kutuharibia siku asee[emoji119][emoji119][emoji119] anyway kila la kheri Young Africa.[emoji172][emoji172][emoji169]
Nakubaliana na wewe, japo kuna watu walimpigiania sana apangwe ila kwenye mechi ya Kagera madhaifu yake yameonekana. Pengine labda kuna shida ya kiafya kwa mabeki wanaounda first eleven
 
Beki line ...... Huyu Gifty🙄🙄🙄... Mzito sana wajameniiiiii... Anuary Jabiri anaweza kutuharibia siku asee🙌🙌🙌 anyway kila la kheri Young Africa.💚💚💛
Na Siku yako iharibike tu.
Hakuna namna
 
Back
Top Bottom