Hii game Yanga ni mwenyeji.Aiyah😁🤣
Ingekuwa kila chance straika anapata goli basi tungekuwa tunaona mastraika wanamaliza mechi wakiwa na magoli 7+kwani ni goli?
Unaangalia ball mwamba?Ingekuwa kila chance straika anapata goli basi tungekuwa tunaona mastraika wanamaliza mechi wakiwa na magoli 7+
Wana solar wenyeweTanesco wenyewe hata hawajali.
Kuna watu hawapo. MkuuSàsa hiki kikosi ndio kitatoa suluhu na Al Ahly?
Na kumfunga Beluzidad?
Pamoja mwanetu
Kwamba na wewe ndio timu zako hizo?Arsenal + Yanga dah