FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Ha ha ha ha ha haa.
Hii ndio Uto
 
Nyie angalieni mechi na sitaki kujua atakayefungwa mi namuangalia tu huyu refa mpk dkk 90 ziishe
 
Dodoma sijui wanaogopa nini, wakifunguka Yanga mnapigwa
 
Jamaa wanakimbia pasi wenyewe
 
Dakika 42.
bado holaaa.
wanalala yoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…