FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Screenshot_20240205-195800.jpg
 
⚽️ Young Africans SC Vs Dodoma Jiji
05.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku.
View attachment 2894502
Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0

Dakika ya 9
Yanga SC wanapata Kona ya kwanza

Dakika ya 15
Bado ni 0-0

Dakika ya 20
Yanga SC wanakosa goli la wazi

Dakika ya 25
Pacome anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 27
Mchezaji wa Dodoma anapewa kadi ya njano

Dakika ya 30
Bado 0-0

Dakika ya 35
Yanga SC wanapata Kona ya 2
Wanashambulia sana pacome na musonda wamekosa nafasi ya wazi kabisa

Dakika ya 37
Lomalisa anapiga mpira viva yanga fireeerrrr
 
Yanga haina wafungaji kabisa yaani nafasi zote walizopata wameshindwa kuweka hata ka goli ka kuotea?

Ngoja walima zabibu wapate hizo nafasi Uto watamchukis kipa wao kabisa kabisa 😂
 
Back
Top Bottom