Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kwan unadhani na wao hawajui wanatakiwa kufunguka? Wafunguke waoneDodoma sijui wanaogopa nini, wakifunguka Yanga mnapigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan unadhani na wao hawajui wanatakiwa kufunguka? Wafunguke waoneDodoma sijui wanaogopa nini, wakifunguka Yanga mnapigwa
Kako sober houseHivi kale kajamaa kalikofunikwa mashuka zanzibar kutambukishwa kako wap
Mbona ulituambia ushindi upo, vipi tena?Yanga hii mechi sio ya kukosa ushindi jamani.
Hata kama tunasuasua, Leo ushindi upo.
Dakika ya ngapi?Kwa Kifupi Baada ya Hii game Yanga na Azam watakuwa wanalingana Mechi kwa tofauti ya Point moja.
Means Uto point 32
Azam Point 31.
Hizi suluhu hizi zinamleta mnyama kileleni kirahisi sana
Kipindi cha Pili ndio kimeanza hapa.Dakika ya ngapi?
📌
Yanga itashindaKipindi cha Pili ndio kimeanza hapa.
Basi kama Suluhu ni Yanga kushinda uko sahihi.Yanga itashinda
Napenda hilo litokee ila nao watahakikisha wanafanya kila liwezekanalo wapate ushindi hata kwa kuibaBasi kama Suluhu ni Yanga kushinda uko sahihi.
Hawana Dalili
Hivi leo pia hayupo?Na bado akiwepo kuna wajinga wanamsema vibaya.