FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Musonda Yellow kadi.
wameanza kuchanganyikiwa
 
Yanga kila mtu ni Straiker 😂😂
 
Mnaoangalia mpira hivi n kweli Yanga inacheza au redio yangu imepoteza majira
 
Chamazi ina magepu kibao.
Uto wameanza kuichoka timu yao mapema sana
 
Na akamleta Dombya ,nkonkon na bigrimana . Hakika injinia hakosei
Mjanja huyu, akileta player mzuri anatafuta machawa wamuimbe mitandaoni, akileta akina Konikoni, utashangaa tu wameachwa kimya kimya
 
Back
Top Bottom