Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Majini nyinyiMachizi hawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majini nyinyiMachizi hawa.
Unakunywa maziwa wewe ni ndama? Utopolo bhanaUnainjoi pira la yanga na kikombe cha maziwa pembeni. Kwanini nisinenepe mimi?
Raha zote hizi
View attachment 2934568
Sio kila mtu ni mlevi kama wewe zuwenaUnakunywa maziwa wewe ni ndama? Utopolo bhana
Ngapi hukoEti 5!! nyenyenye [emoji28][emoji28][emoji28]
90Dakika ya ngapi ?
moya moya!Ngapi huko
Mkuu..,🤗🤗Game inaisha suluhu hii
Mhhmoya moya!
nilijua Uto wasingeweza kushikilia bomba mda mrefu!!
moya moya!
nilijua Uto wasingeweza kushikilia bomba mda mrefu!!
Mi naiskia redioni mkuu ..Match ya leo imepoa hadi nasinzia kwenye kochi
Leo majini swaumu imekuwa kali yamekosa nguvu ya kuchezaMatch ya leo imepoa hadi nasinzia kwenye kochi