Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si anaona marefa wanafanya utoto uliopitilizaGamondi kamaindi sana
Azam msiniangushe keshoTukubaliane Uto wanafanikiwa kibahati tu.
Hakuna Ball hapa
Washazoea kupigwa mitungo, hata 2 wanapigwa kwa mpigo. Yanga wastaarabu ni mwendo wa kimoko mpaka 7Kimoko kimoko ukijumlisha ubao unasoma 7-2 😹
Kimoja cha nguruwe unajuwa kinazaa watoto wangapi?nyie sasa ni wakimoja kimoja tena chakutafuta kwa tabu sana
Ngoma ya watoto haikeshi.Full time Yanga 1:0 Kagera sugar
ee bora yeye anarusha mimi ningewapiga mbupu marefaGamondi anarusha ngumi hapa 🤣🤣🤣🤣
Tunamkanda vibaya mno
Kwa mbiiiiiiiindeFull time Yanga 1:0 Kagera sugar
wew tulikupiga ngapi?nyie sasa ni wakimoja kimoja tena chakutafuta kwa tabu sana
Basi sawaMudathir ndo kafunga huko😂
Kimoko kimoko ukijumlisha ubao unasoma 7-2 😹
Wewe kama sio ushindi ungepotea kabisaVipi nizimie tena Mtani? 🤣🤣🤣
Mapepo yenu yalifungawew tulikupiga ngapi?