Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari kubwaWaiter lete bia ya baridi
Nini kimetokea hadi kumind hivyo?Gamondi kamaindi sana
Marefa kila siku wanarudia makosa hii kitu inaumiza sana kwa mtu anayetegemea ajira yake haposi anaona marefa wanafanya utoto uliopitiliza
Ndo useme zilikua ngapi?Mapepo yenu yalifunga
Marefa wetu changamoto sana kwenye kutoa maamuzi sahihiNini kimetokea hadi kumind hivyo?
Mm nimekuta mwishonimwishoni
Mimi kama wakili wako wa kujitegemea ntahakikisha hili swala linatekelezwasumbai fanya muamalaa🤸💚💚View attachment 2984876
Hahari gani?Naitakia yanga kipigo cha goli 3
Ila tumeondoka na alama tatuKwa mbiiiiiiiinde
usiwalaumu ndio akili yao ilipofikia apoMarefa wetu changamoto sana kwenye kutoa maamuzi sahihi
KabisaNgoma ya watoto haikeshi.
Bora wewe unakitu upo nafas ya ngap vile 🤣🤣🤣Yanga imeisha....majini yamekats moto hakuna kitu hapa..m
Ahsanteeee daktare 🤣🤣🤣
Yaan sijui kapenda nini pale...Huyo binti kapotea kumbe ana mahaba na guede hahahaahahhahaahahha
Wabadilike ligi yetu kwa sasa imekuausiwalaumu ndio akili yao ilipofikia apo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nmechekaaa kimoko cha nguruweKimoja cha nguruwe unajuwa kinazaa watoto wangapi?
Dozi ya goli nyingi huwa mnaandaliwa Makolo.