FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

Makolo ndio wajuwe kuitwa bingwa siyo jambo dogo lazima watu wapambane home and away ndio apatikane bingwa, siyo mabonanza ya kujitungia tu mechi mbili unapewa kombe stukeni mnachoreshwa tu.
naunga mkono hoja
 
Kuna mahali nimepita jamaa wanaprint tshirts za Ubingwa wa 30.
Angalieni msijekuzivalia ndani tu
 
Back
Top Bottom