FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

Toa Dube weka Baleke
Yani Beleke sijui ana matatizo gani jamani
Unajua mpaka watu wanamdai beleke tushaona watu wa ndani hawana impact...
Kama vipi tucheze kama msimu uliopita bila staiker jaza viungo afu basi
 
Yanga tunataka magoli yasiyopungua matatu. Hili goli moja halitoshi litanisababishia mshituko wa moyo.
 
Dakika ya 70 bado goli ni lilelile moja

Na kauli mbiu ya game ni kufosi yani kukamia kuhakikisha wanapata ushindi wa goli nyingi

Na hiki tunachokiona hapo ndio wamefosi mpaka mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…