Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Nenda kwenye jukwaa la michezo kafukuefukue utakutana na nyuzi lukuki za Wanalunyasi wakiuliza Boka tumemtoa wapiMechi gani hiyo iliyoonesha vitu binafsi vya Boka?
Wengine wakiuliza yule ni mtu au bodaboda?