FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

yuko kwenye timu haina pressure mkuu,
Anaigharimu timu kwa ujinga wake

Angalia mara nyingi sana awapo kwenye box na kuna defense mbili au tatu ziko mbele yake na pembeni unaona team mates wake wamefungua, yeye ana opt kuwa kata chenga mmoja mmoja hadi kipa ndio atoe pasi au afunge
 
Arajiga huwa hatakagi ujinga kwenye timu yake uki doubt maamuzi yake na kadi lazima ulambwe
 
Walipopata goli dakika ya 5 watu walijipa matumaini ila mpaka saizi ni kama wamejiandaa na chochote watachokipata
 
Back
Top Bottom