3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Hii timu wachezaji wake wamejichokea sana uongozi uone namna ya kuwahurumia hawa wazee au serikali iingilie kati ajira kwa wazee siyo nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo wanakabika kirahisi sanaWalipopata goli dakika ya 5 watu walijipa matumaini ila mpaka saizi ni kama wamejiandaa na chochote watachokipata
usijifiche humo nyau kashinda 1 kwa kubebwa yanga anashinda 1 kwa uwezo wakeHakuna magoli mengi msimu huu ni Moja mbili mwisho tatu
Naunga mkono hoja yako.Hii timu wachezaji wake wamejichokea sana uongozi uone namna ya kuwahurumia hawa wazee au serikali iingilie kati ajira kwa wazee siyo nzuri
labda wakabwe na refa kama dodomaUtopolo wanakabika kirahisi sana
Mechi gani hiyo iliyoonesha vitu binafsi vya Boka?Ni Yanga pekee akicheza utapata shuhudia vitu adimu kutoka kwa wachezaji binafsi
Mtu Boka
Ha ha ha nini kimetokea aposto, maana muda wa kulala na hii mechi kuangalia ni kuwaingilia mbu muda wao wa kupata chochote kituWazee wanarusha ngumi
True hii game tumeinunuaWa mchongo wewe
Mueleze huyo mjingausijifiche humo nyau kashinda 1 kwa kubebwa yanga anashinda 1 kwa uwezo wake
Huyo kipaji chake si ni riadha!?Ni Yanga pekee akicheza utapata shuhudia vitu adimu kutoka kwa wachezaji binafsi
Mtu Boka
Muda alifanya fauloHa ha ha nini kimetokea aposto, maana muda wa kulala na hii mechi kuangalia ni kuwaingilia mbu muda wao wa kupata chochote kitu
Young Africans sijui yanga ilitoholewa vipi kwenye hayo maneno.Kwenye logo yao ngumi zipo
View attachment 3110524