FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

Hii timu wachezaji wake wamejichokea sana uongozi uone namna ya kuwahurumia hawa wazee au serikali iingilie kati ajira kwa wazee siyo nzuri
 
Hapo Arajiga umecheza fair huyu Baca kafanya faulo ya kijinga
 
Kwa mchezo huu.
Huko club Bingwa watafanyaje sasa? hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…