FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

Hii timu yangu huu mwaka hakuna kitu. Yaani hadi wapewe ahadi. Na hiyo imewaharibu akili zao wanawaza tu bonus za kila mechi. Shenzi. Mtu kama hawajibiki fyeka mshahara wake tu atapambana mwenyewe bila ahadi.
 
Huyo kwisha habarI yake , mwakani mwakani hata majimaji fc hapati namba
alafu kipindi kile cha usajili timu nyingi za nje zilimtaka akiwa wa moto balaa sasa kwa mwendo wake huu wa sasa hadi mwisho wa msimu si ataonekana hana tena maajabu atadoda shauri yake ndo kama yale Maringo ya mrisho ngasa kipindi kile!
 
"Oo simba wameanza kuona moto wa kucheza mikoani", haya ninyi mliochezea nyumbani hongereni kwa kufunga goli nyingi, sasa ndio mtajua umuhimu wa ile kauli ya "cha muhimu points tatu"
 
Musonda ana dakika 5 tanngu aingie na tayari kachukua yellow

Refa anaweza kuona kama anamkomoa lakini kumuona tena kiwanjani tusahau
 
Mimi Yanga, leo timu yangu imecheza jihadi sana.
Arajiga alikataa bahasha ya penati
 
Back
Top Bottom