FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Ila wale kmc mbona kama vile walikua wanaangalia kbs mpira unaingia na wako wawili sijui watatu...
 
Hata Mkioga sana kwa hili pira Papatu Papatu 'Mjini hamuendi' (Makundi CL CAF)....!
 
Hata Mkioga kwa hili Papatu Papatu 'Mjini hamuendi' (Makundi CL CAF)....!
 
Pira La Yanga.. Papatu Papatu ...Sio Rahisi Kukatiza Makundi Champion LIGI Ya CAF.

Labda kujaribu kwa Losers Shirikisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…